Thursday, May 1, 2014

ILE ALBUM ILIYOKUWA INASUBIRIWA MUDA MREFU KUTOKA KWA BABA AFRICA SASA INAMALIZIWA ITAKUJIA HIVI KARIBUNI KAA MKAO WA KULA

Moja ya screen shoot ikionesha nilivyotokelezea kwenye moja ya video ya wimbo wangu katika album yangu inayokujia hivi karibuni

Hii ni moja ya maandalizi ya albam ya mziki wa asili itakayo kuja hivi karibuni ambayo nimeshirikiana na wana kikundi wenzangu AGESTA,
Albam hii imebeba nyimbo nane,ambazo zimeimbwa kwa makabila tofauti tofauti za hapa Tanzania.

nyimbo hizi zimebeba jumbe zinazohusu jamii kwa ujumla nyimbo hizi ni,

WAPENZI NA MASHABIKI ZANGU KAENI MKAO WA KULA KWA WIMBO WANGU MPYA UNAOITWA "WATOTO" SOMA ZAIDI HAPA KUJUA

Hapa nikiwa studio za TVC Recs nikiandaa wimbo wangu wa WATOTO

 Haya ni maandalizi ya singo ya nyimbo yangu inayojulikana kwa jina la WATOTO nyimbo hii iko katika mahadhi ya bongo flava(R’n’B) na ina beti (verses) tatu na chorus nimeimba mwenyewe, natarajia kuingia location jumamosi ya tarehe 3/4 2o14.

Ni wimbo niliyo shirikiana na msanii,

HAPA NIKIELIMISHA JAMII KUHUSU HAKI ZA WATOTO NIKIWA NA KIKUNDI CHA SEKA TANZANIA CHINI YA UFADHILI WA SHIRIKA LA CCR MKOANI MOROGORO


Hapa ni kipindi nikiwa nafanya kazi na kikundi cha SEKA TANZANIA katika kuelemisha jamii kuhusu haki za watoto na shirika lisilo la kiserikali la Caucus for Childrens Right (CCR) kuanzia mwaka 2010 hadi mwaka 2013 ambapo tulipata fursa ya kuzunguka katika shule, vijiji na mitaa kila Mkoa Tanzania tukifikisha ujumbe kwa njia ya sanaa ya maonesho.
Mchezo wa kwanza ulikuwa mwaka 2011 ambao tulizunguka mikoani tukifikisha ujumbe kwa,