Thursday, May 1, 2014

WAPENZI NA MASHABIKI ZANGU KAENI MKAO WA KULA KWA WIMBO WANGU MPYA UNAOITWA "WATOTO" SOMA ZAIDI HAPA KUJUA

Hapa nikiwa studio za TVC Recs nikiandaa wimbo wangu wa WATOTO

 Haya ni maandalizi ya singo ya nyimbo yangu inayojulikana kwa jina la WATOTO nyimbo hii iko katika mahadhi ya bongo flava(R’n’B) na ina beti (verses) tatu na chorus nimeimba mwenyewe, natarajia kuingia location jumamosi ya tarehe 3/4 2o14.

Ni wimbo niliyo shirikiana na msanii,
Ray swing nyimbo hii nimerecodi katika studio za TVC rec zilizopo Arusha producer wa audio aliye husika ni SOJA B na kwaupande wa video na tarajia kufanya na studio B inapatikana arusha maeneo ya jengo la ccm mkoa chumba namba (9)

Maudhui ya wimbo hii ni naelezea namna ya kuishi na watoto kwani nao wana haki ya kusema na sisi na wana haki ya kusikilizwa maana imekuwa ni kilio cha watoto wote sio walioko nyumbani,shuleni na hata walio mtaani,hivyo kaeni mkao wa kuipokea pindi ikiwa tayari.

Endeleeni kunipa support wadau na wapenzi wa Muziki na kazi zangu.
Nawapenda sana

Wasanii wenzangu toka AGESTA wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mazoezi ya kushoot video
Hapa Baba Africa nikitoa Elimu kuhusu kuwajali watoto

No comments:

Post a Comment