Hili
ni tamasha kubwa kuwahi kutokea katika historia ya masuala ya utamaduni hapa Tanzania.
Tamasha hili liliweza kuwakutanisha viongozi wa makabila zaidi ya 120 yaliyopo
katika mikoa yote ya Tanzania kwa lengo ya kuhamasisha utalii wa ndani pamoja
na kuwakumbusha Watanzania utamaduni wao wa asili ambao kwa sasa unaelekea
kupotea.
Tamasha
hili lilifanyika katika uwanja wa,
michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha
kuanzia tarehe 15 may hadi tarehe 17 may 2014.
Tamasha
hili liliwashirikisha pia wasanii mbalimbali wanaoimba muziki wa asili na
muziki wa kisasa unaoendana au unaolandana na muziki wa asili. Wasanii
walioshirikishwa walikua ni Jambo Squad (Mamong’oo), Baba Afrika na kundi la
AGESTA na Mrisho Mpoto na bendi yake ya Mjomba.
Hizi
ni baadhi ya picha za matukio yaliyotokea katika tamasha hilo
No comments:
Post a Comment