Habari
za leo mashabiki wangu, naamini mko salama na Mwenyezi Mungu anazidi kuwalinda.
Namshukuru
Mungu mimi pia niko mzima, nasikitika kuwatangazia kuwa,
nimepata msiba wa mtoto
wa baba yangu mdogo ambaye amejinyonga usiku wa kuamkia leo.
Chanzo
cha kifo bado hakijajulikana, polisi wanafanya uchunguzi kujua chanzo. Mimi
niko safarini Mwanza nimekuja kumuuguza mama toka juzi ndio kwa bahati mbaya
tumepata msiba huo.
Mazishi
yanatarajiwa kufanyika mchana wa leo maeneo ya Katoro Geita.
Mungu
azidi kututia nguvu katika wakati huu mgumu pia naomba maombi yetu katika
wakati huu mgumu.
Asanteni
No comments:
Post a Comment